
Othman afanya mazungumzo ya amani kuelekea uchaguzi mkuu
Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais, Othman Masoud Othman, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Jumuiya ya Maimamu Zanzibar (Jumaza), ikiwa ni mwendelezo wa kuhamasisha amani nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Mazungumzo hayo yaliyofanyika leo, Septemba 7, 2025, ukumbi wa Jamat-Khan Mkunazini, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, yameonesha Othman akisisitiza kwamba…