
Petroli, Dizeli zashuka bei, Ewura yatoa mwongozo
Dar es Salaam. Wamiliki wa vyombo vya moto wanaendelea kufurahia kupungua kwa bei ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, baada ya bei za mafuta yanayoingia nchini Tanzania kupitia bandari mbalimbali kutangazwa kushuka kuanzia leo Jumatano, Desemba 4, 2024. Taarifa ya Mamlaka ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura)…