Eti tusiwachape watoto wakikosea, tuwafanyeje?

Dar es Salaam. Mwaka jana nilipata bahati ya kutembelea sehemu zaidi ya tatu ambazo wazazi na walezi hawaruhusiwi kupiga watoto wao viboko. Na ninaposema hawaruhusiwi namaanisha hawaruhusiwi kwelikweli, sio ile ya tangazo tu, kwamba inakuja serikali au uongozi unatangaza kuwa hauruhisiwi kumchapa viboko mtoto, kisha wakimaliza kutangaza na kuondoka huku nyuma wazazi wanaweza kuendelea kuwacharaza…

Read More

JERRY SILAA ACHUKUA FOMU UBUNGE UKONGA

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jerry Silaa, amechukua na kisha kurejesha fomu baada ya kuijaza ya kuomba ridhaa ya Chama kuwania ubunge katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam. Silaa, alichukua na kurejesha fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Ilala ambapo alikabidhiwa na Katibu wa Chama wa wilaya hiyo Sylivester Yared,…

Read More

MBUNGE KIMEI AANZA ZIARA JIMBONI

Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei akizungumza na wananchi wa vijiji vya Kisangesangeni na Miwaleni kata ya Kahe, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hii leo. Kimei yupo jimboni kuzungumza na wananchi wa Jimbo hilo kusikiliza na kutolea ufafanuzi wa masuala na kero mbalimbali zinazowakabili wananchi. Katika ziara yake hiyo…

Read More

Piga mshindo wa maana na Meridianbet leo

Leo hii mechi zote za kufuzu kwa Afcon zinaenda kumalizika ambapo kuna timu ambazo tayari zimeshafuzu na zingine bado. Tanzania itakuwa kibaruani leo kusaka ushindi ili kushiriki michuano mikubwa Afrika. Suka jamvi lako sasa. Tanzania atakuwa akisaka nafasi ya kufuzu dhidi ya Guinea ambao wao wapo nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi H. Mara…

Read More