
DKT BITEKO AIPA TANO TEF KWA KAULI MBIU YAO YA “UANDISHI WA HABARI KUHAMASISHA MATUMIZI YA GESI KULINDA MISITU.
Na Janeth Raphael -MichuziTv -Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe Dkt Dotto Biteko ameoneshwa kufurahishwa na Kauli mbiu iliyoandaliwa na Jukwaa la Wahariri TEF kwa mwaka 2024 iliyokuwa inasema “Uandishi wa Habari Kuhamasisha Matumizi ya Gesi Kulinda Misitu” na kusema imebeba ujumbe unaolenga kuhamasisha matumizi ya gesi kwa kupikia. Dkt Biteko ameyasema…