
Rekodi za mita 100 wanawake Olimpiki
Paris, Ufaransa. Mashindano ya Olimpiki yanatarajiwa kuanza Julai 26 mwaka huu kwenye jiji la Paris nchini Ufaransa. Haya ni mashindano makubwa na yenye heshima kubwa kwa miaka mingi na mwaka huu wanamichezo mbalimbali wanayasubiri kwa hamu kubwa sana. Pamoja na mashindano mengine, lakini riadha ni kati ya yale ambayo yamekuwa yakiwavutia watu wengi zaidi kwa…