
Muhas yahadharisha hofu magonjwa ya mlipuko
Dar es Salaam. Wakati kukiwa na minong’ono ya uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika baadhi ya maeneo, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk Mohamed Mang’una amesema hakuna mgonjwa aliyethibitishwa kuugua maradhi hayo. Kwa upande mwingine, Mkurugenzi wa Huduma za Wanafunzi Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), Profesa Tumaini Nyamhanga…