
Marekani na Tanzania Zaungana Kupambana na Usugu Wa Vimelea Vya Magonjwa
Serikaliya Marekani kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) na Tanzania leozimeungana kuzindua kampeni ya “Holela– HolelaItakukosti” ambayo inaratibiwa na Offisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Wizara ya Afya Pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Kampeni hii inazingatia udhibiti kuhusu usugu wavimelea vya magonjwa dhidi ya dawa (UVIDA) namagonjwa ya kipaumbele…