
Picha la Benchikha lilivyokuwa | Mwanaspoti
Baada ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha kuondoka, hatimaye timu hiyo sasa imebaki chini ya Juma Mgunda na Selemani Matola, lakini kuna maswali mengi ya kujiuliza ambayo yanatia shaka juu ya muenendo wa kikosi hicho. Tetesi za kuondoka kwa Benchikha zilianza kuzagaa kwa muda mrefu, huku mara chache uongozi wa timu hiyo ukikanusha…