
Benki ya NBC ‘Yawanoa’ wafanyabiashara Tanzania – Afrika Kusini kuhusu Masoko ya Fedha za Kigeni
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu maalum kwa wafanyabiashara baina ya Tanzania na Afrika Kusini kuhusu masoko ya fedha za kigeni sambamba na muelekeo wa hali ya kiuchumi hususani nchini Tanzania. Hatua hiyo ililenga kuwajengea uwezo na ufanisi zaidi wafanyabiashara hao utakaowasaidia kufanya uamuzi sahihi kwenye masuala yanayohusu manunuzi ya fedha hizo na…