RAIS WA TANZANIA DKT SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU CCM

::::::::: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar…

Read More

Wakulima 5,000 kunufaika na mradi wa kilimo rafiki Geita

Geita. Zaidi ya wakulima 5,000 kutoka katika kata tatu za Butundwe, Kagu na Nyawanzaja zilizopo Wilaya ya Geita mkoani Geita wanatarajia kunufaika na kilimo rafiki kitakachowasaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kuvuna mazao mengi zaidi. Wakulima hao watajengewa uwezo wa namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kupatiwa mbegu bora zinazostahimili ukame, pamoja…

Read More

Ahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi mgodini

Bunda. Mtu mmoja anahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi katika shimo linalotumika kuchimba dhahabu katika mgodi wa Kinyambwiga, eneo la Walwa lililopo Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la Juma Lutalamura, mkazi wa Katoro mkoani Geita ambaye ni fundi, amekumbwa na tukio hilo akiwa anafanya matengenezo ya shimo hilo….

Read More

Ajali ya basi yaua 79 Afghanistan, wamo watoto 19

Dar es Salaam. Watu 79 wakiwemo watoto 19, wamefariki dunia baada ajali ya basi iliyotokea katika jimbo la Herat, kaskazini magharibi mwa Afghanistan. Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo, Abdul Mateen Qani, imeeleza kwamba ajali hiyo imesababishwa na basi walililokuwa wakisafiria watu hao kugongana na lori na pikipiki…

Read More

Dar-si-Salama ilivyomfyatua Fyatu na yeye akafyatuka!

Baada ya kukaa majuu kwa ngwe nyingi, kfyatufyatu si nikajitia kiherehere na mbambamba kwenda kujinoma Dar––si––Salama. Badaa ya kwenda Arusha, Moshi, na Ushoto na kufaidi kila kitu na makandokando, likaja wazo la kufyatua kitu hiki na namna nilivyofyatuliwa kulhali. Bila hili wala lile, niliamua kutua Dar-si-Salama japo kujikumbusha zama zangu Dar. Mara hii, sikufikia Kariakoo…

Read More

Simulizi pacha walioungana kwa miaka 35, mmoja aolewa

Dar es Salaam. Pacha walioungana, Abby na Brittany Hensel wametumia zaidi ya miaka 30 ya maisha yao wakiishi kwa mshikamano wa kipekee, tofauti kabisa na pacha wengine unaowafahamu. Abby alifunga ndoa na mwanajeshi mstaafu wa Jeshi la Marekani, Joshua Bowling mwaka 2021, huku dada yake Brittany akibaki hana mwenzi. Wiki iliyopita, wawili hao wenye umri…

Read More