WAZIRI ULEGA AZINDUA BODI YA USHAURI TBA, AITAKA KUJENGA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega, leo Machi 2, 2026, amezindua Bodi ya sita ya Ushauri ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na kuutaka wakala huo kuongeza juhudi katika ujenzi wa nyumba za gharama nafuu ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi kumudu makazi bora. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Waziri Ulega amesisitiza umuhimu wa kuzingatia ujumuishi…