
Kinara wa mabao aitega Ken Gold
BAADA ya kuandika rekodi mbili tamu Championship, winga wa Ken Gold, William Edgar amesema bado hajajua hatma yake kubaki au kuondoka kikosini humo msimu ujao. Nyota huyo ameshinda tuzo ya mfungaji bora akitupia mabao 21 na pia hii ni mara ya pili kuipandisha timu Ligi Kuu baada ya msimu wa 2021/22 kuipandisha Mbeya Kwanza. Kwa…