
TOTAL FOOTBALL: Nani atatoboa? | Mwanaspoti
MANCHESTER, ENGLAND: KUELEKEA msimu huu wa Ligi Kuu England mmoja kati ya mastaa wanaotarajiwa kufanya makubwa ni straika wa Manchester City, Erling Haaland. Haaland ambaye alijiunga na Man City mwaka 2022, anatarajiwa kuvunja rekodi mbalimbali zinazoendelea kuishi katika ligi hiyo. Moja kati ya rekodi hizo ni ile ya Dixie Dean aliyefunga mabao 60 ya EPL…