
Adhabu USM Alger hizi hapa, fainali ni Berkane vs Zamalek
USM Alger itatozwa faini ya Dola 50,000 (Sh 130 milioni) na kufungiwa kushiriki mashindano yote ya klabu yaliyo chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) baada ya jana kugomea kucheza mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane katika Uwanja wa Manispaa wa Berkane huko Morocco.Timu…