Samia ataja miradi ambayo Tanzania inashirikiana na IDA

Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu amehutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na kubainisha miradi ambayo Tanzania inashirikiana na Mfuko Maalum wa Benki ya Dunia ambao unatoa mikopo nafuu na misaada kwa nchi zinazoendelea (IDA), kuitekeleza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Rais Dk. Samia…

Read More

INEC YASISITIZA UWAZI UBORESHAJI WA DAFTARI

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati wa  mafunzo kwa watendaji wa ubioreshaji ngazi ya Mkoa kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoa wa Mbeya uliofanyika leo Desemba 16, 2024. Mwenyekitiwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele (kushoto)akizungumza jambo wakati…

Read More

Kwanini Afrika inazongwa na maandamano ya vijana? – DW – 31.07.2024

Katika miezi ya hivi karibuni Nigeria imeshuhudia maandamano ya hapa na pale, ukiwemo mgomo wa chama cha wafanyakazi uliovuruga usafiri wa anga na kusababisha umeme kupotea katika maeneo mengi. Hata hivyo, maandamano yanayotarajiwa kufanyika kote nchini yanatarajiwa kuwa makubwa kabisa kushuhudiwa tangu maandamano ya mwaka 2020 yaliyoshinikiza juhudi zifanyike kuutokomeza ugonjwa wa Sars chini ya…

Read More

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumchinja shingoni

Babati. Shabani Rajabu (60), mkazi wa Kijiji cha Maweni, Kata ya Magara, Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, anadaiwa kumuua mkewe, Zulfa Rajabu (40), kwa kumchinja shingoni na kumkata mkono. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Ahmed Makarani, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema polisi wanamshikilia mtuhumiwa huyo na wanaendelea…

Read More

Burkina Faso yachomoa bao ‘jiooni’

Bao la dakika ya 90 lilifungwa na Aboubacar Troure wa Bukina Faso lilizima matumaini ya Harambee ya Kenya kushinda mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi 2025 baada ya kutoka sare ya 1-1 katika pambano kali la michuano hiyo kwenye Uwanja wa Gombani, kisiwani hapa. Mchezo huo ambao ulipigwa juzi usiku na kuhudhuriwa na mashabiki…

Read More

Niyonzima, Coastal kuna jambo lipo

WIKI chache tangu aiachane na aliyekuwa kocha mkuu, David Ouma, klabu ya Coastal Union ya Tanga inadaiwa imemshusha kimyakimya kocha mpya kutoka Burundi, Domonique Niyonzima ambaye kwa sasa anaendelea kusimamia mazoezi yanayoendelea kambini eneo la Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Licha ya kwamba mabosi wa Coastal bado haijatangaza rasmi juu ya kocha huyo ambaye ni…

Read More

Yanayoathiri maumbile ya siri ya mwanamke

Mbeya. Baadhi ya wanawake wenye umri kati ya miaka 18 mpaka 35 wako hatarini kiafya kutokana na matumizi ya kemikali, vidonge na vitu vinavyotengenezwa kwa njia asili sehemu zao za siri. Vitu hivyo ni pamoja na vidonge mbalimbali vinavyochakatwa viwandani kwa bidhaa asili maarufu ‘yoni’, ugoro, shabu na hata wengine kuweka limao wakiwa na malengo…

Read More

Ratiba za ndege zafuta mechi za usiku Jamhuri

BILA shaka umewahi kushuhudia mechi za Ligi Kuu zinazopigwa usiku Uwanja wa Jamhuri, Dodoma zikisimamishwa kwa taa kuzimwa ikielezwa ni kupisha ndege zinazopaa na kushuka Uwanja wa Ndege wa Dodoma, basi Bodi ya Ligi (TPLB) imekata mzizi wa fitina kwa kuzifuta mechi hizo. Bodi ya ligi imeamua kuzifuta mechi zote za usiku zilizokuwa zikipigwa siku…

Read More