
TARURA mkoa wa Morogoro yatakiwa kuendelea kuboresha miundombinu ya usafiri na usafirishaji
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa Godfrey Mnzava amewataka wakala wa barabara vijijini na mijini TARURA mkoa wa Morogoro kuendelea kuboresha miundo mbinu ya usafiri na usafirishaji kwa kujenga barabara kwa ubora na viwango ili ziweze kutumika kwa muda mrefu bila kiharibika. Aidha Mnzava alisema kuwa baada ya kukagua ujenzi wa barabara hiyo…