
Kilichobaki Bara ni vita ya nafasi na noti
LIGI Kuu Bara imesaliwa na mechi 19 ikiwamo Dabi ya Kariakoo kabla ya kufungwa kwa msimu huu, huku vita ya ubingwa ikisalia kwa vigogo Simba na Yanga, ilihali nafasi nyingine imebaki kuwa ni vita ya nafasi ya pesa za wadhamini wa ligi hiyo iliyoasisiwa mwaka 1965. Yanga ndio inayoongoza msimamo ikiwa na pointi 73, ikifuatiwa…