
Benki ya NBC Yapata Tuzo ya Mwezeshaji Bora wa Mikopo Kwa Serikali Afrika.
Benki ya NBC imepata tuzo ya Mwezeshaji Bora wa Pamoja wa Mikopo ya Serikali Kuu nchini katika Bara la Afrika kwa mwaka 2023 katika Tuzo za Benki za EMEA. Tuzo hiyo inalenga kutambua jitihada za Benki ya NBC kama Mwezeshaji Mkuu wa mkopo wa Dola za Kimarekani Milioni 200 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,…