
MAWAZIRI WA AFRIKA KUJADILI VIPAUMBELE VYA AFRIKA IDA 21
Na. Josephine Majura na Saidina Msangi, WF, Nairobi, Kenya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), ameungana na Mawaziri wa Fedha wa Afrika kushiriki katika mkutano maalum wa kujadili vipaumbele vya Afrika ili viweze kuzingatiwa katika maandalizi ya Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maaalumu wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21) unaotarajiwa…