
CTI na wanachama wajadili utitiri wa tozo
MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, shule Kuu ya Biashara (UDBS), Patrolik Kanje, ameshauri utitiri wa tozo za mamlaka ya udhibiti zipunguzwe ili kuwapunguzia mzigo wazalishaji wa bidhaa nchini.Alitoa ushauri huo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na wanachama wa Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI). Anaripoti Mwandishi Wetu,…