Dereva bodaboda, bondia kortini tuhuma mauaji ya mtoto wa mfanyabiashara Dodoma

Dodoma. Dereva wa bodaboda, Kelvin Joshua (27) na Tumaini Msangi (28) ambaye ni bondia, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia ya mtoto Greyson Kanyenye (6). Washtakiwa hao wakazi wa Ipagala, Jijini Dodoma, wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumatatu, Desemba 30, 2024 mbele ya Hakimu Mkazi, Denis Mpelembwa. Akiwasomea…

Read More

SHILATU AHIMIZA MAKUNDI MAALUM KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA

Na Mwandishi wetu Mpapura, Afisa Tarafa Mpapura Emmanuel Shilatu amesisitiza jamii kuhakikisha makundi maalum yanapewa nafasi ya kuchagua na kuchaguliwa kwenye uchaguzi huu wa Serikali za mitaa 2024. Gavana Shilatu aliyasema hayo kwenye mikutano na vikao alivyofanya ya kuhimiza ushiriki kikamilifu wa Watu kwenye mazoezi ya kujiandikisha na kupiga kura. “Kumekuwa na tabia kwenye jamii…

Read More

PURA yaweka mikakati ya kuongeza wawekezaji

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungezi wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) Khalfan Khalfan amesema kuwa PURA itahakikisha inaongeza wawekezaji kwenye maeneo ambayo yako wazi ili kuongeza matumizi ya gesi asilia kwa viwandani na majumbani . Gesi asilia nyingi nchini hivyo kazi iliyopo ni kuendelea kushawishi wawekezaji katika kuja kuwekeza katika eneo…

Read More

BARAZA LA WAFANYAKAZI PSPTB LAFUNGULIWA

  BODI ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imefanya kikao cha Baraza la wafanyakazi leo ili kujadili mafanikio, changamoto na njia za kuweza kutatua changamoto zilizojitokeza wakati wa uundaji wa bajeti mwaka unaokuja wa 2025/2026. Akizungumza kwenye kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu Ununuzi na Ugavi Godfred Mbanyi amesema baraza ni chombo…

Read More

Viongozi wa masoko watajwa uuzaji vizimba

Dar es Salaam. Migogoro ya vizimba vya biashara kwenye masoko nchini ni suala linalojitokeza mara kwa mara. Kwa kiasi kikubwa migogoro hii huwaathiri wafanyabiashara, mamlaka za serikali za mitaa na maendeleo ya masoko kwa ujumla. Ufuatiliaji uliofanywa na Mwananchi katika baadhi ya masoko nchini, migogoro hiyo huchangiwa na utaratibu wa utoaji wa vizimba unaodaiwa kugubikwa…

Read More

DK.SAMIA ATOA HOFU WAKULIMA BEI YA MBAAZI NA UFUTA, WANYAMA WAHARIBIFU TUNDURU

Na Said Mwishehe,Michuzi TV -Tunduru MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wakulima wa mbaazi na ufuta katika wilayani Tunduru mkoani Ruvuma kwamba Serikali inaendelea na mazungumzo na Serikali ya India kwa ajili ya kuuza mazao hayo. Akihutubia wananchi wa Kijiji cha Nakapanya wilayani Tunduru mkoani Ruvuma leo Septemba…

Read More

KUTOKA SERA HADI VITENDO: SERIKALI ZA MITAA ZAKUMBATIA MALEZI YENYE UWANJILISHI

Denis Mguye, Afisa Ustawi wa Jamii wa Mkoa wa Arusha na Mratibu wa Malezi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (ECD), ameona mabadiliko makubwa yakichukua nafasi—mabadiliko yanayobadilisha familia na mustakabali wa jamii katika Mkoa wa Arusha. “Wanaume sasa wanasimama bega kwa bega na wake zao kliniki—jambo ambalo halikuwazwa kutokea hata miaka michache iliyopita,” anasema. Ni…

Read More