
Stori ya Bocco itaisha kishikaji Simba?
HESHIMA aliyojijengea nahodha wa Simba, John Bocco tangu aanze kucheza Ligi Kuu Bara mwaka 2008 hadi 2024, inawafanya mashabiki kuyafuatilia maisha yake na kutaka kujua ukimya wake unasababishwa na kitu gani. Kwa wachezaji wa sasa, Bocco ndiye anaongoza kwa kufunga mabao 154 katika misimu 16 aliyocheza, ukiachana na mastaa wa zamani kama Mohamed Hussein ‘Mmachinga’…