
Kikwete awataja Wachaga vinara wa kujituma
Rombo. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo. Kikwete ametoa sifa hizo kwa Wachaga, huku akiyahusisha baadhi ya makundi ya watu nchini, ambayo hata kulima kwa ajili ya mlo wao wanalazimika kusukumwa. Kikwete ametoa kauli hiyo leo Jumatatu, Desemba 23, 2024 alipowaongoza…