
Simba yampandia dau beki wa mpira
UKISIKIA haishi hadi iishe ndio hii. Baada ya kumkosa katika dirisha dogo la usajili la msimu huu, mabosi wa Simba wameamua kumkomalia beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi anayetajwa pia kuwindwa na Ihefu kwa kumpandia dau ili kumnasa katika dirisha lijalo. Katika dirisha dogo lililopita, Lawi alihusishwa na Simba kwenda kusaidiana na beki…