Mtanzania uso kwa uso na Mzambia usiku wa vitasa

MJI wa Kyela utasimama kwa muda kupisha usiku wa ngumi pale mabondia 18 wakiwamo Joseph Mwaigwisya (Tanzania) na Mbachi Kaonga raia wa Zambia watakapozichapa Agosti 8 katika ukumbi wa Unenamwa uliopo mjini humo. Mabondia hao kila mmoja anajivunia rekodi zake za ndani na nje na kufanya shauku kuwa kubwa kwa wapenzi wa ndondi na Mwaigwisya…

Read More

Bingwa mtetezi aanza vyema CHAN 2024

BINGWA mtetezi wa michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za ndani (CHAN), Senegal imeanza vizuri kampeni za kutetea taji hilo baada ya kuifunga Nigeria ‘Super Eagles’, bao 1-0, katika pambano nzuri na la kuvutia baina ya miamba hiyo. Pambano hilo la kundi D, lililochezwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, lilishuhudia…

Read More

Mtoto alijeruhiwa shingo na house girl aruhusiwa

  MTOTO Maliki Hashimu, mkazi wa Goba Jijini Dar es Salaam, aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na majeraha makubwa aliyopata baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni na mfanyakazi wa ndani ‘house girl’, ameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya madaktari kujiridhisha na hali yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…

Read More

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA NDC NA SIDO KWA UTENDAJI

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imelipongeza Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwa usimamizi mzuri wa Miradi ya kimkakati ya Kitaifa na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kwa kuwawezesha wajasiliamali wadogo wadogo kukuza biashara. Kamati hiyo imeyataka Mashirika hayo kutekeleza shughuli zake kwa ufanisj na kuongeza kuongeza uwigo…

Read More

Hasira; Chanzo Kikubwa cha Kuvunjika Uhusiano! – Global Publishers

LAITI kama kwenye dunia hii kila mmoja angejitambua, akafuata misingi sahihi ya uhusiano, basi kusingekuwa na ugomvi.  Watu wangekuwa wanapishana tu kwenye mambo madogomadogo na kuwekana sawa kisha maisha yanaendelea, lakini kutokana na ugumu wa mioyo yetu, tunaifanya dunia kuwa uwanja wa mapambano. Watu wanagombana kila kukicha, wanapigana na hata kuuana, kisa mapenzi. Ukifuatilia, chanzo…

Read More

Nchimbi ataka viongozi wasifunike mazuri ya watangulizi wao

Morogoro. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amewataka viongozi wanaopata dhamana katika nafasi mbalimbali wasisahau au kupuuza yaliyofanywa na watangulizi wao. Amesema ili jamii na Taifa lipige hatua viongozi wanapopata madaraka ndani na nje ya serikali kuhakikisha wanaenzi na kutambua michango ya waliokuwapo kwenye nafasi hizo. Dk Nchimbi amesema hayo leo…

Read More

Mpango wa amani wa Ukraine ambao unajumuisha kukidhi mahitaji ya Kremlin ni mtego, sio njia ya kutoka – maswala ya ulimwengu

Jaribio la Amerika la kushinikiza Ukraine kukubali upotezaji mkubwa wa eneo kwa Urusi badala ya kumaliza vita inatarajiwa kuongezeka. Picha: Oleksandr Ratushniak / undp Ukraine Maoni na Vyacheslav Likhachev (Kyiv) Jumanne, Februari 18, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Vyacheslav Likhachev, aliyeishi Kyiv, ni mtaalam katika Kituo cha Uhuru wa raia, shirika la haki za…

Read More

MBUNGE MTATURU AMSHUKURU RAIS SAMIA.

MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu,akizungumza katika mahafali ya Kidato cha Nne shule ta sekondari Mwau iliyopo Kata ya Manginyi MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameshiriki mahafali ya Kidato cha Nne shule ta sekondari Mwau iliyopo Kata ya Manginyi na kutoa msaada wa mashine ya kudurufu na Sh.Milioni tatu ya kukarabati ofisi ya Walimu…

Read More