Barabara yamogoka kimazichana safari Lindi, Mtwara na Kwingineko hatarini

Na Mohammed Ulongo Wakazi wa Kimazichana Mkoani Pwani wamefikwaa na hadha ya kumogoka kwa sehemu ya barabara kuu inayounganisha maeneo mbalimbali ikiwemo mikoa ya kusini mapema hii leo. Akizungumza na mtanzania digital shuhuda wa tukio hilo aliyejitambulisha kuwa Mudhihiri Muhsin kutoka eneo hilo amesema kuathirika kwa barabara hiyo ni kutokana na mvua zinazoendelea Kunyesha Huku…

Read More

Ukifanya haya unaathiri makuzi ya mtoto wako

Kila mtoto ana ndoto ya kuishi maisha mazuri bila kujali anatokea katika familia ya maisha aina gani, iwe ya kitajiri, kati hata ya kimasikini, ndiyo maana wapo wanaopambana tangu wakiwa wadogo. Kutokana na familia wanazotoka, watoto wamejikuta wakishirikishwa katika biashara za wazazi wao tangu wakiwa wachanga hadi wanapofikia umri wa kujitegemea. Wapo watoto ambao wamejikuta…

Read More

Uanaume haulindwi kwa kupuuza hisia

Nimekuwa nikizungumzia dhana ya uanaume na madhara yake kwa afya ya akili ya wanaume. Ikiwa hukuweza kusoma makala zilizopita, nilirejea kidogo tafiti mbalimbali zinazoonesha kuwa wanaume wengi wanakufa kabla ya wake zao. Ukifuatilia wastani wa kuishi kwenye nchi mbalimbali duniani, mwanamume anakuwa chini ya mwanamke kwa miaka kadhaa. Tunaweza kufanya mambo kadhaa kumsaidia mwanamume. Kwanza, haja…

Read More

Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited kutimiza masharti ya mkataba wa ubia wa uwekezaji  wa kutoa msaada wa kiufundi kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Utulivu kilichopo eneo la Bululu, Wilayani Nyangh’wale Mkoani Geita. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Mavunde ameyasema hayo jana tarehe 27 Aprili 2024 katika Kijiji…

Read More

KONA YA MAUKI: Je, una kiu na ndoa yenye mafanikio?

Somo hili ni kwa ajili ya watu wenye ndoto ya kuwa na ndoa zenye mafanikio. Kama huna mpango wa kufunga ndoa hili somo si kwa ajili yako. Watu wengi wamekuwa wakifundishwa na kuelewa kwamba tunachotakiwa kuwa nacho ili tuishi kwenye ndoa ni upendo peke yake, upendo ukiwepo basi hakuna haja ya kingine chochote, mengine yatakuja…

Read More

Benchikha ndo basi tena Simba, aaga wachezaji

Kocha Mkuu wa Simba,  Abdelhak Benchikha inadaiwa amemalizana na klabu hiyo baada ya kuipa Kombe la Muungano na Bodi ya Wakurugenzi imekubali uamuzi wa kocha huyo kutaka kuondoka. Benchikha alitambulishwa Simba, Novemba 28 mwaka jana akichukua nafasi ya Roberto Oliveira ‘Robertinho’ aliyefutwa kazi baada ya timu hiyo kufungwa 5-1 na Yanga katika Kariakoo Dabi ya…

Read More

Dk. Jafo aipongeza Oryx kumuunga mkono Samia

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Dk. Selemeni Jafo ameipongeza Kampuni ya Oryx Gas Tanzania kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha nishati safi ya kupikia nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha …(endelea). Dk. Jafo ameyasema hayo leo Jumamosi jijini Arusha katika…

Read More