Machumu awafunda wahitimu wa uandishi wa habari

Morogoro. Mkurugenzi Mtendaji na mwanzilishi wa BSM Washauri Tanzania Limited, Bakari Machumu amewapa mbinu tano wahitimu wa kozi ya uandishi wa habari zitakazowasaidia kupata mafanikio katika taaluma hiyo hasa katika kipindi hiki cha teknolojia. Machumu ambaye amewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited (MCL),  ametoa mbinu hizo akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya 28…

Read More

Mbowe kuja na mapendekezo mapya ya uongozi Chadema

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atafanikiwa kushinda uongozi wa juu wa chama hicho, atapeleka mapendekezo kwenye mkutano mkuu ili uchaguzi wa ndani uwe unafanyika kila baada ya miaka mitatu badala ya mitano. Mbowe, anayetetea nafasi hiyo aliyoiongoza kwa miaka 21, amesema hatua hiyo itakifanya chama hicho kujiandaa kwa uchaguzi wa…

Read More

RC MAKONDA TAYARI KUWAFUTA MACHOZI WAKAZI WA ARUSHA.

Hakuna hadithi nyingine zaidi ya Wewe kupata haki yako, Muhimu Njoo na Nyaraka zako zote na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda yupo tayari kukuhudumia na kupambana kwaajili yako dhidi ya wanaozuia haki yako kwa muda mrefu. Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda anakualika na kukusihi usiwe mnyonge kwasababu haki yao…

Read More

Vita vya Gaza ni “janga” – DW – 10.09.2024

Mkuu huyo wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa wito wa kuimarisha ushirikiano kati ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa nchi za kiarabu katika kushughulikia mzozo huo na kusisitiza kuwa mzozo huo hauna mstakabali ulio mwema: “Umoja wa Ulaya umeunga mkono kikamilifu juhudi zinazoendelea za Misri, Qatar na Marekani. Lakini makubaliano ya kusitisha…

Read More

Mbunge asisitiza wabakaji, walawiti wahasiwe

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Shally Raymond amesisitiza pendekezo la muda mrefu la baadhi ya wabunge la kuhasiwa wanaume wanaopatikana na hatia ya ubakaji ama ulawiti kwa watoto. Mbunge Shally Raymond amesema hayo leo Jumatatu ya Aprili 29, 2024 wakati akichangia mjadala bungeni wa taarifa ya mpango na makadirio ya mapato na…

Read More