USAFIRI TRENI SGR ULIVYORAHISISHA KAMPENI ZA DK.SAMIA MOROGORO VIJIJINI
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Morogoro MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.Samia Suluhu leo Agosti 29,2029 ametumia usafiri wa treni ya mwendo kaşi ya SGR akitokea Dar es Salaam kwenda Morogoro kwa ajili ya kuendelea na kampeni za uchaguzi Mkuu mwaka huu. Rais Dk.Samia aliondoka na treni ya SGR mapema asubuhi ya leo…