MAGAMBA FOREST WALKATHON AND ADVENTURE SEASON III KUFANYIKA DESEMBA 17 HADI 20 MWAKA HUU
Na Oscar Assenga, LUSHOTO. MATEMBEZI Maalumu ndani ya Hifadhi ya Misitu ya Mazingira Asilia Magamba (Magamba Forest Walkathon and Andventure Season 111) yenye lengo la kutangaza na kuhamasisha utalii zinatarajiwa kufanyika Desemba 17 -20 katika mji wa Lushoto mkoani Tanga huku maandalizi yakielezwa kukamilika kwa asilimia 85. Akizungumza na Mtandao huo Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi…