Vizuizi vipya kwa Wanawake Wanawake wanaofanya kazi kwa UN, weka juhudi za misaada katika hatari – maswala ya ulimwengu

Hatua hizi zinaweka msaada wa kuokoa maisha ya kibinadamu na huduma zingine muhimu kwa mamia ya maelfu ya watu walioathiriwa na tetemeko la ardhi la hivi karibuni lililo hatarini, Ujumbe wa Msaada wa UN nchini Afghanistan (Unama) alionya ndani taarifa. Jumapili, de facto Vikosi vya usalama vilizuia wafanyikazi wa wanawake wa Afghanistan na wakandarasi kuingia…

Read More

DED LUDEWA ATOA NAFASI KWA WATUMISHI KWENDA KUJIANDIKISHA

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratius, amewataka watumishi wote wa serikali wa Halmashauri hiyo kuhakikisha wanajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura linaloendelea kote nchini huku akipunguza masaa ya kazi Ili waweze kutimiza adhma hiyo. Deogratius amesema katika siku hizi za kujiandikisha watumishi wote ambao bado hawajajiandikisha wanapaswa kutoa taarifa kwa wakuu wao…

Read More

Raia ni 70% ya waliouawa Gaza

Umoja wa Mataifa ulilaani siku ya Ijumaa (Novemba 11) ongezeko kubwa la idadi ya raia wanaouawa kwenye vita vya Israel katika Ukanda wa Gaza, ukisema wanawake na watoto wanakaribia 70% ya maelfu ya vifo ulivyoweza kuvithibitisha. Ofisi ya Haki za Binaadamu ya Umoja wa Mataifa ilisema ilikuwa imeweza kuthibitisha vifo 8,119 kati ya zaidi watu 34,500…

Read More

Bajeti ya uchaguzi, kulinda haki za raia

Dodoma. Nyongeza ya fedha kwenye bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani, imelenga kuwezesha utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai. Pia bajeti hiyo imelenga kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuliwezesha Jeshi la Polisi kutimiza majukumu yake, ikiwemo la uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani. Maombi ya…

Read More

Madumu ya petroli yalivyookoa watu 29 kuzama Ziwa Victoria

Mwanza. Watu 29 wamenusurika kifo baada ya mtumbwi wao kuzama Ziwa Victoria huku wakitaja madumu ya petroli kunusuru maisha yao. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa akizungumza leo Septemba 26, 2024 na waandishi wa habari amesema boti hiyo imezama saa 11:10 jioni ya jana Jumatano ikitokea Mwalo wa Kirumba jijini…

Read More

Tiketi ya Pamba kurejea Ligi Kuu iko Arusha

Pamba Jiji FC inakabiliwa na mechi mbili za Ligi ya Championship ugenini mkoani Arusha ambazo ni lazima kushinda zote ili kurejea tena Ligi Kuu Bara baada ya kushuka daraja zaidi ya miaka 20 iliyopita. Timu hiyo inashika nafasi ya pili kwa alama 61 tofauti ya alama tatu dhidi ya kinara Ken Gold FC yenye alama…

Read More

Katika uso wa kupunguzwa kwa fedha, asasi za kiraia zimechukua jukumu kubwa katika majibu ya kibinadamu – maswala ya ulimwengu

na Civicus Jumatatu, Juni 23, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Jun 23 (IPS) – Civicus anajadili kufungwa kwa ofisi ya Wakala wa Wakimbizi wa Umoja wa Mataifa (UNHCR) huko Mexico na wanachama wa Haki za Binadamu katika Action (DHIA), Shirika la Asasi ya Kiraia ya Mexico (CSO) ambayo inakuza na kutetea haki za binadamu…

Read More

WAUGUZI WATAKIWA KULA KIAPO CHA KUTOA HUDUMA BORA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka wauguzi kula kiapo cha utoaji wa huduma bora. Waziri Mchengerwa ameyasema hayo jijini Tanga wakati wa kufungua Kongamano la kisayansi na Mkutano Mkuu wa 51 wa Chama Cha Wauguzi Tanzania. Amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshamaliza…

Read More