
Polisi yawaachia ‘Boni Yai’ na Malisa, watoa msimamo
Dar es Salaam. Aliyewahi kuwa Meya wa Ubungo, Jacob Boniface, maarufu Boni Yai pamoja na Mwanaharakati, Godlisen Malisa wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es salaam baada ya kushikiliwa kwa siku tatu kwa tuhuma za uchochezi. Tuhuma za uchochezi zinazowakabili wawili hao ni kuchapisha taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa…