
Hatari ya kutumia barafu ukeni
Dar es Salaam. Ingawa baadhi ya watu hufikiri barafu husaidia kubana uke au kuongeza hisia za mapenzi, wataalamu wa afya wamesema matumizi ya barafu ukeni husababisha maambukizi na harufu mbaya sehemu za siri. Wataalamu hao wameonya hayo kutokana na mjadala ulioibuka baada ya baadhi ya wanawake kupitia mitandao ya kijamii kushauriana kuitumia kwa lengo kubana…