
Wanafunzi St. Mathew wahamasishwa kujifunza Kichina
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wanafunzi wa Shule ya Sekondari St. Mathew iliyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani wamehamasishwa kujifunza lugha ya Kichina ili kupata fursa zaidi za kujiendeleza kimasomo. Shule hiyo imekuwa ikifundisha lugha ya Kichina tangu mwaka 2016 na hadi sasa wanafunzi 100 wamenufaika kwa na wengine wamepata ufadhili wa masomo nchini…