Tchakei aanza tizi Ihefu | Mwanaspoti

Nyota wa Ihefu, Marouf Tchakei ameanza mazoezi mepesi na timu hiyo baada ya kukosekana kwa takriban wiki tatu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya kifundo cha mguu aliyoyapata katika mchezo wa 32 bora Kombe la Shirikisho dhidi ya KMC. Tchakei aliumia Aprili 6, mwaka huu, wakati Ihefu ilipoifunga KMC mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Azam…

Read More

Rais Samia awasamehe wafungwa 1,082

Dar es Salaam. Rais Samia Hassan Suluhu ametoa msamaha kwa  wafungwa 1,082, ikiwa ni katika kuadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia ametoa msamaha huo kwa kutumia mamlaka  aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(a)-(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kutoa msamaha kwa wafungwa kwa masharti maalumu. Taarifa hiyo imetolewa…

Read More

Championship mwisho wa ubishi ni kesho

Pazia la Ligi ya Championship msimu huu linafungwa kesho Jumapili huku utamu utakuwa jijini Arusha wakati Pamba itakaposaka nafasi ya kuzika mzimu ulioitesa kwa zaidi ya miaka 20 kutopanda Ligi Kuu. Ligi hiyo iliyoanza Septemba 9 ikishirikisha timu 16 inafika tamati huku Ken Gold ikiwa imepanda Ligi Kuu na pointi 67 ikiwa na mechi moja,…

Read More

GGML yaja na teknolojia za kisasa maonesho ya OSHA Arusha

KATIKA kuelimisha wananchi na washiriki wa maonesho ya usalama na afya mahali pa kazi namna ya kuzingatia usalama wawapo katika shughuli zao, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeleta vifaa mbalimbali vya kisasa ili kutoa fursa kwa washiriki hao kujifunza teknolojia za kisasa za uokoaji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha… (endelea). Hayo yamebainishwa na Meneja…

Read More

Bakwata kulinda rasilimali zake kidijitali

Dar es Salaam. Ili kudhibiti upotevu wa mali na mapato yake, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limeanzisha mifumo ya kidijitali kwa ajili ya kuratibu shughuli zake. Kabla ya matumizi ya mifumo hiyo, Baraza hilo lilikabiliwa na changamoto lukuki katika urasimishaji wa rasilimali zake na wakati mwingine kushindwa kudhibiti ubadhilifu. Hayo yalielezwa jana Ijumaa, Aprili…

Read More

Championship mwuisho wa ubishi ni kesho

Pazia la Ligi ya Championship msimu huu linafungwa kesho Jumapili huku utamu utakuwa jijini Arusha wakati Pamba itakaposaka nafasi ya kuzika mzimu ulioitesa kwa zaidi ya miaka 20 kutopanda Ligi Kuu. Ligi hiyo iliyoanza Septemba 9 ikishirikisha timu 16 inafika tamati huku Ken Gold ikiwa imepanda Ligi Kuu na pointi 67 ikiwa na mechi moja,…

Read More