
MBUNGE MTATURU AISHAURI SERIKALI KUONDOA URASIMU KWENYE BIASHARA
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amechangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023 huku akiainisha maeneo manne ya msisitizo kwa serikali ili kuweza kuongeza mapato kupitia sekta ya biashara. Akichangia Juni 24,2024, Bungeni Jijini Dodoma Mtaturu ametaja eneo la kwanza…