
Polisi yaita wenye taarifa kuhusu kifo cha Zuchy
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi nchini Tanzania limewataka watu wenye taarifa tofauti juu ya ajali ya bodaboda iliyotokea alfajiri ya jana Ijumaa Aprili 26, 2024, eneo la Makonde, mkoani Dar es Salaam na kusababisha kifo cha Noel Mwingira, maarufu Zuchy wazipeleke zifanyiwe kazi. Katika ajali hiyo, dereva bodaboda ambaye jina bado halijafahamika alijeruhiwa na…