
Caf yaanza na Coastal Union, Azam
Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limezitaka timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao kukamilisha usajili wake mapema. Caf juzi ilitoa taarifa ya kuonyesha kalenda ya michuano ya kimataifa, Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho, huku ikionekana kuwa timu zina siku chache tu kuanzia sasa kukamilisha usajili wake. Yanga na Azam zitashiriki michuano ya Ligi…