
Haki, amani vyatawala ibada ya Ijumaa Kuu Arusha
Arusha. Amani ya Tanzania ili iendelee kudumu, viongozi wa Serikali wametakiwa kuongeza kiwango cha uvumilivu na kuepuka matumizi ya nguvu kupita kiasi kwa baadhi ya watu wenye mitazamo tofauti. Aidha, wametakiwa kutenda haki kwa watu wanaowaongoza, na pale wanapotofautiana kujenga tabia ya kutumia njia ya mazungumzo kwa ajili ya kumaliza tofauti zao. Wito huo umetolewa…