BENKI YA STANBIC TANZANIA NA GAIN WAZINDUA PROGRAMU YA KIKUNDI CHA SABA CHA MAENDELEO YA BIASHARA KITAIFA KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI WADOGO NA KATI (SMEs)

• Stanbic na GAIN wanaungana kuongeza mchango wa SME katika sekta ya chakula ili kuboresha upatikanaji wa lishe bora nchini Tanzania.• Programu inalenga kuboresha biashara zinazoongozwa na wanawake kwa kuwapa ujuzi katika usimamizi wa zabuni, uboreshaji wa bidhaa, usalama wa chakula, na mbinu za masoko.• Uzinduzi huu unaendana na dhamira ya Stanbic ya kukuza maendeleo…

Read More

WANA-DGSS WAJADILI NA KUWEKA MIKAKATI YA UFUATILIAJI WA UTEKELEZAJI WA MAONI RASIMU YA DIRA YA TAIFA 2025-2050

Washiriki wa Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) leo Jumatano, Januari 22, 2025, wamejadili masuala mbalimbali yanayohusiana na rasimu ya Dira mpya ya Taifa 2025-2050 katika semina iliyofanyika katika ofisi za Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Mabibo, jijini Dar es Salaam. Mwanasaikolojia Sylvia Sostenes ameibua hoja kuhusu umuhimu wa masomo ya stadi za kazi katika…

Read More

REA YAANZA KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI MOROGORO

📌 *Bil. 17.9 kutumika kupeleka umeme Vitongoji Morogoro* 📌 *Vitongoji 166, Kaya 5,478 kunufaika* Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza Umeme kwenye Vitongoji 166 vilivyopo Mkoa wa Morogoro baada ya kukamilisha nishati hiyo kwenye Vijiji 652 kati ya 669 sawa na Asilimia 97.5. Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 17.9 unatarajiwa…

Read More

DP WAIBUKA NA SERA YA KUBORESHA KANUNI ZA KIKOKOTOO ENDAPO WATAPATA RIDHAA YA KUONGOZA NCHI

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma MGOMBEA Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Siasa cha Democratic Party (DP),Abdul Mluya,amesema endapo chama hicho kitapata nafasi ya kuongoza Nchi moja ya kipaumbele chao ni kwenda kusimamia suala la Kikokotoo. Mluya ambaye aliambatana na mgombea mwenza Saodun Abraham Khatibu ameyazungumza hayo mbele ya waandishi wa habari mara baada ya…

Read More

Senegal, Congo Brazaville mechi ya mtego

TOFAUTI na makundi mengine yenye timu tano, hesabu za kundi D katika michuano ya CHAN 2024 zinaonekana kuwa ngumu zaidi kutokana na idadi ya timu ambazo leo Jumanne zitacheza mechi ya pili kila mmoja kusaka nafasi ya kutinga robo fainali. Kundi D linaongozwa na Senegal iliyoibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mechi ya kwanza…

Read More

Get Program yamrejesha Miraji WPL

Get Program inayoshiriki Ligi ya Wanawake (WPL) imempa mkataba wa mwaka mmoja aliyewahi kuwa kocha wa Ceasiaa Queens, Miraji Fundi. Fundi alikuwa miongoni mwa makocha watatu waliopita Ceasiaa kwenye mzunguko wa kwanza wa ligi akiwemo Petro Mrope na Shabani Said kabla ya Ezekiel Chobanka kupewa kandarasi ya kuiongoza timu hiyo. Chanzo kutoka Get Program kililiambia…

Read More

Sabasaba imeisha itumike kama shamba darasa la Nanenane

Wapenzi wa safu hii, napenda kuwasalimia na kuwakaribisha kwenye makala hii ya ushauri. Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea na kwa muda mrefu nimekuwa pia mdau mkubwa wa maonesho mbalimbali hapa nchini. Kwa wengi, Maonyesho ya Sabasaba au Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) yanachukuliwa kama maonesho makubwa zaidi nchini Tanzania. Sababu kubwa…

Read More

Huu ndio uhaini anaoshtakiwa nao Lissu 

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu (57) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu, akikabiliwa na kesi mbili tofauti za jinai zenye mashtaka tofauti, likiwemo la uhaini. Lissu amepandishwa kizimbani leo Alhamisi, Aprili 10, 2025, jioni na kusomewa mashtaka hayo na mawakili wawili mbele…

Read More