Makalla: CCM haikubadili gia angani uteuzi wagombea urais

Dar es Salaam. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema chama hicho hakikubadili gia angani kwa kuwateua wagombea urais mapema kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Badala yake, amesema uamuzi wa kuwateua wagombea hao, umechochewa na shinikizo la wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho, baada ya kuridhishwa na…

Read More

Simba yamalizana na straika Rwanda

MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu ya Wanawake, Simba Queens wamemalizana na straika wa AS Kigali, Zawadi Usanase kwa mkataba wa mwaka mmoja. Huu unakuwa usajili wa pili rasmi kwa Simba baada ya awali kukamilisha taratibu zote na beki wa Yanga Princess, Asha Omary. Kwa mujibu wa uongozi wa mchezaji huyo, Local Champions ni kwamba…

Read More

Mpepo suala la muda tu Singida Black Stars

BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi sita, taarifa zimefichua kuwa mshambuliaji, Eliuter Mpepo amemalizana na Singida Black Stars hivyo ni suala la muda tu kuanza kuitumikia timu hiyo akiwa mchezaji huru. Mpepo alikuwa nje ya uwanja baada ya kumalizana na timu yake ya zamani Trident ya Zambia na kutua nchini akifanya mazoezi…

Read More

Mvua zasababisha vifo 155, Majaliwa atoa maelekezo 14

Dar es Salaam. Mvua kubwa za El-Nino zilizoambatana na upepo mkali, mafuriko na maporomoko ya udongo katika maeneo mbalimbali nchini zimesababisha vifo vya watu 155 na wengine 236 kujeruhiwa. Hayo yameelezwa bungeni leo Aprili 25, 2024 katika taarifa ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kuhusu changamoto za…

Read More

Bodaboda auawa Arusha, mwili watundikwa mtini

Arusha. Hofu imezidi kutanda katika mtaa wa Olmokea iliyoko kata ya Sinoni baada ya leo tena mwili wa dereva bodaboda aliyefahamika Bosco Massawe ‘Rasta’(43) kukutwa umetundikwa juu ya mti mita chache kutoka nyumba aliyopanga, huku ukiwa na majeraha makubwa. Mwili wa Bosco umekutwa katika hali hiyo, ikiwa imepita siku mbili tangu mwili wa mtoto Mishel…

Read More

MOURINHO ASHUSHA WANNE FENERBAHCE – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Kocha mpya wa Klabu ya Uturuki ya Fenerbahce Jose Mourinho ameendelea kukiimarisha kikosi chake ili kuipa Galatasaray ushindani mkali baada ya kuwasajili nyota wanne wenye uzoefu mkubwa watakaoipiga jeki timu hiyo katika mashindano mbalimbali.   Miongoni mwa maingizo mapya ndani ya Fenerbahce ni pamoja na nyota wa Morocco Youssef En-Nesyri, aliyejiunga nao kutoka Sevilla…

Read More

MATUMIZI YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KUDHIBITI MAJANGA YA MIGODI YA BARRICK NCHINI YAPONGEZWA NA SERIKALI NA WANANCHI KATIKA MAONESHO YA OSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda katika Banda la Barrick   ******   Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wananchi wamepongeza kazi kubwa na nzuri inayofanywa na migodi wa dhahabu wa Barrick Bulyanhulu,North Mara na Buzwagi kwa kutumia vifaa vya teknolojia ya kisasa kudhibiti majanga sambamba na kufikisha elimu ya Afya na Usalama kwa…

Read More

Makundi maalumu yapewa neno INEC ikijiandaa kwa uchaguzi

Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeyataka makundi maalamu, wakiwamo watu wenye ulemavu kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapigakura, kutokana na mifumo kuboreshwa. Tume imesema wapigakura wengi wamekuwa hawajiandikishi, wakiwamo wenye ulemavu, wajawazito na wenye watoto wachanga. Hayo yameelezwa leo Jumanne Juni 11, 2024 na Mwenyekiti wa INEC, Jaji…

Read More

Mwenyekiti Soka la Wanawake Mbeya afariki dunia

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Soka la Wanawake Mkoa wa Mbeya (MWFA), Atupakisye Jabir, amefariki dunia leo Aprili 3, 2025 wakati akipatiwa matibabu kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Atupakisye ameongoza chama hicho kwa takribani miezi tisa huku akiwa kiongozi wa kwanza wa nafasi hiyo kikatiba na kuacha historia ya kusimamia vyema…

Read More