
Mambo matano yaliyoirejesha Pamba Ligi Kuu
Wikiendi iliyopita Pamba Jiji ilivunja mwiko wa miaka 23 kutopanda daraja kwenda Ligi Kuu tangu iliposhuka mwaka 2000, ilipoifunga Mbuni FC ya Arusha mabao 3-1 na kutimiza ndoto iliyosubiriwa kwa miaka mingi na mashabiki wa soka jijini Mwanza na nchini. Pamba ilipanda Ligi Kuu ikivuna jumla ya pointi 67 baada ya kucheza mechi 30, ikishinda…