
Wazazi lawamani kuchukua baiskeli za wanafunzi za msaada
Geita. Licha ya wanafunzi wa kike kuwezeshwa baiskeli kuhudhuria shule ili wasitembee umbali mrefu, imedaiwa kuwa wazazi na walezi hukwamisha jitihada hizo kwa kuzitumia kinyume na malengo. Akizungumza wakati akikabidhi baiskeli 550 kwa wanafunzi wa kike leo Ijumaa Aprili 26, 2024 zilizogharimu Sh180 milioni, Mkurugenzi wa Mradi wa Kuwawezesha Wasichana Rika Balehe Kuendelea na Masomo…