
Benki ya CRDB Yaadhimisha Miaka 30 kwa Kutoa Jumla ya Gawio Kubwa Zaidi Kuwahi Kutokea la Shilingi Bilioni 170
Arusha 17 Mei 2025 – Katika Mkutano Mkuu wa 30 wa Mwaka wa Wanahisa (AGM) uliofanyika katika kituo cha mikutano cha AICC, wanahisa walikubaliana kwa kauli moja kuidhinisha gawio la Shilingi 65 kwa kila hisa, kiwango cha juu zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya benki hiyo. Jumla ya gawio lililotangazwa kwa mwaka wa fedha wa…