Yanga, Simba zachomoa tena Kagame Cup 2025

WAKATI Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) likitangaza timu 12 zitashiriki mashindano ya Kombe la Kagame 2025 zikiwemo Yanga na Simba, wakongwe hao wa soka la Tanzania wameamua kujiweka pembeni huku sababu za kufanya hivyo zikitajwa. Uamuzi wa timu hizo kujiweka pembeni umetajwa ni kutokana na ratiba kuwabana kufuatia…

Read More

Winga wa KenGold apewa mmoja Namungo

ALIYEKUWA winga wa KenGold, Herbert Lukindo amekamilisha usajili kujiunga Namungo kwa mkataba wa mwaka mmoja, huku nyota huyo akiitosa ofa ya maafande wa JKT Tanzania, ambao mwanzoni ndio iliyokuwa ya kwanza kufungua mazungumzo naye. Awali JKT Tanzania ilifungua mazungumzo na nyota huyo na kukubaliana mkataba wa miaka miwili, ingawa baada ya kuchelewa kuingiza fedha walizokubaliana,…

Read More

Sowah apishana na Yanga Dar

MABADILIKO ya kalenda ya kuwania Ngao ya Jamii yameipa pigo Simba, ambayo sasa itakutana  na Yanga bila ya mshambuliaji mpya wa kikosi hicho, Jonathan Sowah aliyesajiliwa kutoka Singida BS. Simba na Yanga zinatarajiwa kuzindua msimu mpya wa mashindano kwa mwaka 2025-2026 kwa kuvaana katika mechi ya Ngao ya Jamii iliyopangwa kupigwa Septemba 16 kwenye Uwanja…

Read More

Nondo 7 za Stars kuiondosha Morocco CHAN 2024

KUFUATIA Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya robo fainali ya michuano ya CHAN 2024, mjadala umeibuka kuhusu kikosi hicho kinakwenda kuikabili vipi Morocco ili kutinga nusu fainali. Mjadala uliofanyika leo Agosti 20, 2025 kwenye Mwananchi X Space wenye mada isemayo; ‘CHAN 2024 ipo robo fainali, nini kifanyike…

Read More

BILIONI 26.15 ZAONDOA KERO YA MAFURIKO ENEO LA MTANANA

::::::::: Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) wameweza kuondoa kero ya mafuriko ya mara kwa mara ya maji yanayotokana na mvua katika eneo la Mtanana mkoani Dodoma kwa kunyanyua tuta la barabara wenye urefu wa kilometa sita ambao umegharimu Bilioni 26.15 Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Zuhura Amani amesema kuwa…

Read More

MRADI MKUBWA WA DHAHABU SENGEREMA KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI-MAVUNDE

  ☑️ Serikali yasaini mkataba wa nyongeza ya hisa kutoka asilimia 16 hadi 20 na Kampuni ya Nyanzaga  ☑️ Mwekezaji arejesha Leseni Serikalini, Waziri Mavunde aagiza kupewa wachimbaji wadogo ☑️ Mradi kugharimu zaidi ya shilingi trilioni 1 ☑️ Ni mgodi mkubwa wa dhahabu kuanzishwa tangu 2009 ▪️Rais Samia apongezwa kwa mazingira wezeshi ya Uwekezaji 📍Sengerema,…

Read More

Ujenzi wa jengo la TBS Mwanza wafikia asilimia 47.7

Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Prof. Othman Chande imekagua mradi wa ujenzi wa jengo la maabara na ofisi za taasisi hiyo Kanda ya Ziwa unaotekelezwa eneo la Kiseke jijini Mwanza. Akizungumza Jumatano Agosti 20, 2025 baada ya ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la ‘Viwango House’,…

Read More