
Daraja Mto Luipa kunusuru maisha ya wananchi Mlimba
Wakazi wa vijiji vya Kisegese, Chiwachiwa na Lavina katika Kata ya Namwawala na Mbingu na Igima wataepuka hatari ya kupotezamaisha baada ya daraja jipya kuanza kujengwa katika Mto Luipa Daraja linalotumika sasa ni la mbao linalodaiwa kukatika mara kwa mara na kusababisha vifo na majeruhi kwa watumiaji wake. Miongoni mwa miradi iliyipitiwa na mwenge…