TANZANIA NA BELARUS ZAFUNGUA UJKURASA MPYA WA USHIRIKIANO

 ::::::::: Waziri Mkuu wa Tanzania,  Kassim Majaliwa Majaliwa amesema ziara yake nchini Belarus ambayo ni ya kwanza ya ngazi ya juu tokea nchi hizo zilipoanzisha uhusiano wa kidiplomasia mwaka 1996, imefungua mwanzo mpya wa ushirikiano katika maeneo ya kimkakati yenye manufaa kwa pande zote mbili. Mhe. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo mbele ya waandishi wa…

Read More

Ukarabati Uwanja wa Ndege Musoma kukamilika Septemba 2025

Musoma. Uwanja wa ndege wa Musoma unaokarabatiwa na kujengwa gharama ya zaidi ya Sh35 bilioni sasa unatarajiwa kukamilika  Septemba mwaka huu baada ya ujenzi huo kushindwa  kukamilika kwa miaka mitatu, kutokana na changamoto mbalimbali ikiwepo ukosefu wa fedha. Awali uwanja huo ulioanza kukarabatiwa na kujengwa Aprili 2021 ulitarajiwa kukamilika Desemba 2022. Mkandarasi anayetekeleza  mradi huo…

Read More

Hatimaye Mdude aachiwa kwa dhamana

Mbeya. Mwanaharakati na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali aliyekuwa ameshikiliwa na Jeshi la Polisi, ameachiwa kwa dhamana. Mdude alishikiliwa tangu Novemba 22 mkoani Songwe akiwa na viongozi wengine wa Chadema akiwamo Mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe na mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’. Baada ya kuhojiwa…

Read More

Uongozi Simba, Tshabalala kimeumana | Mwanaspoti

HABARI za uhakika kutoka ndani ya Simba, zinasema kuna kazi ngumu ya kufanya mbele nahodha wa timu hiyo, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’. Tshabalala ambaye ni tegemeo Stars, amekuwa akicheza kikosi cha kwanza katika misimu 10 mfululizo na alipoletewa washindani wa namba, ikashindikana kumuweka benchi, ikiwemo Gadiel Michael aliyekiri ni beki bora, ila kutokana na kiwango chake…

Read More

Sababu ya Waziri Jr kuifunga Simba hii hapa

KUIPAMBANIA ndoto si kazi nyepesi. Njiani kuna uwezekano wa kukutana na milima na mabonde, lakini jambo la msingi ni kuamini siku ya kicheko inakuja, kama anavyosimulia mshambuliaji Waziri Junior jinsi ambavyo aliwahi kupata uchungu uliomfanya aweke nadhiri kwa Mungu. Junior anasema kila mchezaji ana historia ya alipotokea hadi kufikia hatua ya kujulikana mbele ya jamii,…

Read More

Aussems amtaja Rupia Singida Black Stars

ALIYEKUWA kocha mkuu wa Singida Black Stars, Patrick Aussems amemtaja mshambuliaji wa Kenya, Elvis Rupia kuwa mmoja wa washambuliaji hatari katika Ligi Kuu Bara kwa sasa na ana nafasi nzuri ya kuwania kiatu cha ufungaji bora msimu huu. Aussems ambaye aliiongoza Singida Big Stras katika michezo 11 ikishinda saba, sare mitatu na kupoteza moja dhidi…

Read More

Access Bank Tanzania Yakamilisha Ununuzi wa Kitengo cha Huduma za Wateja Binafsi, Wafanyabiashara na Biashara wa Kati wa Benki ya Standard Chartered

Benki ya Access Tanzania yapanua huduma zake nchini, yaimarisha huduma za kibinafsi na biashara, na kuchochea ujumuishaji wa kifedha kwa Watanzania wote. Dar es Salaam, 23 Juni 2025 – Access Bank Tanzania leo imetangaza rasmi kukamilika kwa mafanikio ya ununuzi wa kitengo cha Huduma za Wateja wa Kawaida, Binafsi na Biashara cha Benki ya Standard…

Read More

Rais Samia kufanya ziara ya siku tano China

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini China kuanzia Septemba 2 hadi 6, 2024 kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Forum on China-Africa Cooperation-FOCAC) utakaofanyika jijini Beijing. Wakati wa ziara hiyo, Rais Samia atakutana na mwenyeji…

Read More

Ulega amweka kitimoto mkandarasi wa barabara Pangani

Tanga. Mkandarasi anayetekeleza sehemu ya tatu ya barabara ya Tungamaa – Mkwaja – Mkange, Pangani, Tanga yenye urefu wa kilomita 95.2, amejikuta katika wakati mgumu mbele ya Waziri wa Ujenzi, Abdalla Ulega alipomtaka aeleze sababu za kusuasua kwa ujenzi huo. Hata hivyo, katika utetezi wake kwenye utekelezaji wa mradi wenye thamani ya Sh111.55 bilioni, mkandarasi…

Read More