
Waajiri na viongozi ofisi za umma wapewa neno,matumizi ya Kiswahili Sanifu na Fasaha katika nyaraka mbalimbali
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amewataka Waajiri na Viongozi katika ofisi za umma kuwapa fursa Waandishi Waendesha Ofisi (Masekretari) kuwasidia katika uandishi kwa kutumia Kiswahili sanifu na fasaha katika nyaraka mbalimbali badala ya Maboss hao kung’ang’ania kuandika wenyewe na mwisho kupelekea makosa mengi kwenye nyaraka. Msigwa amesema hayo Mkoani…