
GEITA.RC. SHIGELA NA WANANCHI WAKUSANYIKA KUSIKILIZA HOTUBA YA RAIS DKT.SAMIA HASSAN.
Mkuu wa Mkoa wa Geita , Martine Shigela na Mkuu wa wilaya ya Geita Hashim Komba pamoja na wananchi wa Mji wa Geita wamekusanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Geita katika kufatilia hotuba ya Mh Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuelekea siku ya Muungano inayoadhimishwa kila Mwaka ifikapo April 26. Akisikiliza hotuba hiyo…