MCL yajikita kuhamasisha uelewa wa  mabadiliko ya tabianchi kidijitali

Dar es Salaam.  Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imeahidi kuendelea kutoa maudhui katika kuhamasisha uelewa wa mabadiliko ya tabianchi kidijitali. Haya yalielezwa na Mhariri Mtendaji Mkuu wa MCL, Victor Mushi kwenye Kongamano la Jukwaa la Fikra linalowakutanisha wadau mbalimbali wa mazingira kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi.  Jukwaa hili linajadili mada isemayo: “Safari kuelekea…

Read More

Chama cha mawakili wa Serikali, TLS ngoma nzito

Dar es Salaam. Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) kimetoa wito kwa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kuzingatia maadili ya taaluma ya sheria na misingi ya ueledi katika kushughulikia changamoto zinazowakabili wanachama wake. Hii ni kufuatia tamko la TLS linalowataka wanachama wake kusitisha kushiriki katika utoaji wa msaada wa kisheria, kama njia ya kushinikiza hatua…

Read More

Kocha JKT TZ kupambana na haya!

KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema, anafurahishwa na mwenendo wa kikosi hicho japo jambo analolifanyia kazi katika kipindi hiki cha kupisha michezo ya kimataifa ni kutengeneza balansi kwenye eneo la kujilinda na kushambulia. Kocha huyo aliyejiunga na kikosi hicho msimu huu baada ya kuachana na Tanzania Prisons alisema, wachezaji wengi ni wapya ndani…

Read More

Nini hatma ya masharti magumu ya Rais Putin kwa Ukraine

Rais wa Russia, Vladimir Putin, ameeleza kuwa anakubaliana na wazo la kusitisha mapigano nchini Ukraine, lakini ameweka masharti magumu kwa ajili ya amani ya kudumu.  Hii inakuja baada ya Ukraine kukubali mpango wa kusitisha mapigano wa siku 30 kufuatia mazungumzo na Marekani.  Hata hivyo, masharti aliyoweka Putin yameleta utata mkubwa, huku Rais wa Ukraine, Volodymyr…

Read More

Yaliyofanyika miaka minne ya Dk Mwinyi si haba

Unguja. Wakati Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi anaingia madarakani alijipambanua kujikita katika sera ya uchumi wa buluu na kuunda wizara maalumu itakayosimamia eneo hilo. Licha ya awali dhana hiyo kutoeleweka kwa wengi na dhamira yake lakini kwa sasa inatajwa kuanza kuleta mabadiliko. Dk Mwinyi aliapishwa Novemba 2, 2020 kuingia madarakani baada ya kumshinda aliayekuwa…

Read More

TEA NA WFP WAHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Mnamo tarehe 27 Machi 2025, Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) iliungana na Ubalozi wa Uingereza pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa – Mpango wa Chakula Duniani (World Food Programme – WFP) katika kampeni ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia mashuleni. Uhamasishaji huu ulifanyika kupitia warsha maalum iliyowakutanisha walimu wakuu, wapishi, na walimu…

Read More