
MASHINDANO YA UMISSETA YAANZA KUTIMUA VUMBI TABORA
IKIWA leo Mashindano ya 28 ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) yakifunguliwa, tayari mikoa kadhaa imeanza vizuri safari ya kuwania ubingwa wa michezo hiyo inayofanyika mkoani Tabora. Katika michezo ya awali hatua ya makundi kwa upande wa mpira wa kikapu wavulana, wenyeji Tabora wameachapa Kigoma pointi 48-24, Dodoma ikilala kwa Mbeya kwa pointi…